Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 29:21-22

Mithali 29:21-22 NENO

Kama mtu akimdekeza mtumishi wake tangu ujanani, atamletea sikitiko mwishoni. Mtu mwenye hasira huchochea ugomvi, naye mtu mwenye hasira ya haraka hutenda dhambi nyingi.