Mithali 15:1-3
Mithali 15:1-3 NENO
Jawabu la upole hugeuza ghadhabu, bali neno liumizalo huchochea hasira. Ulimi wa mwenye hekima husifu maarifa, bali kinywa cha mpumbavu hufoka upumbavu. Macho ya BWANA yako kila mahali, yakiwaangalia waovu na wema.