Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 13:7-8

Mithali 13:7-8 NENO

Mtu mmoja hujifanya tajiri, kumbe hana chochote; mwingine hujifanya maskini, kumbe ana utajiri mwingi. Utajiri wa mtu unaweza kukomboa maisha yake, bali mtu maskini hasikii kitisho.