Methali 13:7-8
Methali 13:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Baadhi hujidai kuwa matajiri kumbe hawana kitu; wengine hujiona kuwa maskini hali wana mali tele. Fidia ya mtu ni mali yake, lakini maskini hana cha kutishwa.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kuna mtu anayejitajirisha, lakini hana kitu; Kuna anayejifanya kuwa maskini, lakini ana mali nyingi. Fidia ya nafsi ya mtu ni utajiri wake; Bali mtu maskini hasikii ogofyo lolote.
Shirikisha
Soma Methali 13