Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 13:15-16

Mithali 13:15-16 NENO

Ufahamu mzuri hupata upendeleo, bali njia ya asiye mwaminifu ni ngumu. Kila mwenye busara hutenda kwa maarifa, bali mpumbavu hudhihirisha upumbavu wake.