Methali 13:15-16
Methali 13:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Kuwa na akili huleta fadhili, lakini njia ya waovu ni ya taabu Mwenye busara hutenda kila kitu kwa akili, lakini mpumbavu hutembeza upumbavu wake.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ufahamu mwema huleta upendeleo; Bali njia ya muasi huangamiza. Kila aliye na busara hutenda kazi kwa maarifa; Bali mpumbavu hueneza upumbavu.
Shirikisha
Soma Methali 13