Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 3:5

Marko 3:5 NENO

Yesu akawatazama kwa hasira watu waliomzunguka pande zote, akahuzunika sana kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao. Akamwambia yule mtu mwenye mkono uliopooza, “Nyoosha mkono wako.” Akaunyoosha, nao ukawa umeponywa kabisa!

Video zinazohusiana