Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 8:26

Mathayo 8:26 NENO

Naye Yesu akawaambia, “Kwa nini mnaogopa, enyi wa imani haba?” Kisha akaamka na kukemea dhoruba na mawimbi, nayo bahari ikatulia kabisa.