Mathayo 8:26
Mathayo 8:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akawaambia, “Enyi watu wenye imani haba; mbona mnaogopa?” Basi, akainuka, akaukemea upepo na lile ziwa; kukawa shwari kabisa.
Shirikisha
Soma Mathayo 8Mathayo 8:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawaambia, Mbona mmekuwa waoga, enyi wa imani haba? Mara akaondoka, akazikemea pepo na bahari; kukawa shwari kuu.
Shirikisha
Soma Mathayo 8