Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 4:6

Mathayo 4:6 NENO

akamwambia, “Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini. Kwa kuwa imeandikwa: “ ‘Atakuagizia malaika wake, nao watakuchukua mikononi mwao ili usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’”