Mathayo 4:6
Mathayo 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)
akamwambia, “Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini; maana imeandikwa: ‘Mungu atawaamuru malaika wake kwa ajili yako; watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa kwenye jiwe.’”
Shirikisha
Soma Mathayo 4Mathayo 4:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
Shirikisha
Soma Mathayo 4