Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 1:22-25

Mathayo 1:22-25 NENO

Haya yote yalitukia ili litimie lile Bwana alilonena kupitia nabii, aliposema: “Tazama, bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, nao watamwita jina Imanueli” (maana yake, “Mungu pamoja nasi”). Yusufu alipoamka kutoka usingizini, akafanya jinsi alivyoagizwa na malaika wa Bwana, akamchukua Mariamu kuwa mke wake. Lakini hawakukutana kimwili hadi Mariamu alipojifungua mwanawe; akamwita jina Yesu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 1:22-25