Kumbukumbu 4:27-28
Kumbukumbu 4:27-28 NENO
BWANA atawatawanya miongoni mwa mataifa, na ni wachache wenu tu watakaosalia miongoni mwa mataifa hayo ambayo BWANA atawafukuzia. Huko mtaabudu miungu ya miti na mawe iliyotengenezwa na watu, ambayo haiwezi kuona au kusikia wala kula au kunusa.