1
Mateo 16:24
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Ndipo, Yesu alipowaambia wanafunzi wake: Mtu akitaka kunifuata mimi ajikataze mapenzi yake, ajitwishe nao msalaba wake, kisha anifuate!
Linganisha
Chunguza Mateo 16:24
2
Mateo 16:18
Nami nakuambia: Wewe ndiwe Petero, juu ya mwamba huu nitalijenga kundi la wateule wangu, nayo malango ya kuzimu hayatawashinda.
Chunguza Mateo 16:18
3
Mateo 16:19
Nitakupa funguo za ufalme wa mbingu: lo lote, utakalolifunga nchini, litakuwa limefungwa hata mbinguni; nalo lo lote, utakalolifungua nchini, litakuwa limefunguliwa hata mbinguni.
Chunguza Mateo 16:19
4
Mateo 16:25
Maana mtu anayetaka kuikoa roho yake ataiangamiza. Lakini mtu atakayeiangamiza roho yake kwa ajili yangu mimi ataiponya.
Chunguza Mateo 16:25
5
Mateo 16:26
Kwani mtu vitamfaa nini, hata avichume vya ulimwengu wote, roho yake ikiponwa navyo? Au mtu atatoa nini, aikomboe roho yake?*
Chunguza Mateo 16:26
6
Mateo 16:15-16
Yesu akawauliza: Lakini ninyi mnanisema kuwa ni nani? Simoni Petero akajibu akisema wewe ndiwe Kristo, Mwana wake Mungu Mwenye uzima.
Chunguza Mateo 16:15-16
7
Mateo 16:17
Yesu akajibu akimwambia: U mwenye shangwe, Simoni wa Yona, kwani mwenye mwili na damu hakukufunulia hili, ila Baba yangu alioko mbinguni.
Chunguza Mateo 16:17
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video