Mathayo 16:19
Mathayo 16:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitakupa funguo za ufalme wa mbinguni; kila utakachofunga duniani, kitafungwa pia mbinguni; kila utakachofungua duniani, kitafunguliwa pia mbinguni.”
Shirikisha
Soma Mathayo 16Mathayo 16:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lolote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lolote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 16