1
Mateo 11:28
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Njoni kwangu nyote, wenye kusumbuka na wenye kulemewa na mizigo! Mimi nitawatuliza.
Linganisha
Chunguza Mateo 11:28
2
Mateo 11:29
Twaeni kata yangu, mjifunze kwangu! Kwani ndimi mpole na mnyenyekevu moyoni. Kwa hivyo mtaipatia mioyo yenu kituo
Chunguza Mateo 11:29
3
Mateo 11:30
kwani kata yangu ni njema, nao mzigo wangu ni mwepesi.*
Chunguza Mateo 11:30
4
Mateo 11:27
Vyote nimepewa na Baba yangu. Hakuna anayemtambua Mwana pasipo Baba; wala hakuna anayemtambua Baba pasipo mwana na kila, Mwana atakayemfunulia.
Chunguza Mateo 11:27
5
Mateo 11:4-5
Yesu akajibu akiwaambia: Rudini, mmsimulie Yohana, mliyoyasikia nayo mliyoyaona: vipofu wanaona, viwete wanakwenda, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, maskini wanapigiwa mbiu njema.
Chunguza Mateo 11:4-5
6
Mateo 11:15
Mwenye masikio yanayosikia na asikie!
Chunguza Mateo 11:15
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video