1
Mateo 12:36-37
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Nami nawaambiani: Siku ya hukumu watu wataulizwa kila neno baya walilolisema. Kwani kwa maneno yako utapata wongofu, vile vile utapata hukumu kwa maneno yako.
Linganisha
Chunguza Mateo 12:36-37
2
Mateo 12:34
Enyi wana wa nyoka, mnawezaje kusema mema, mlio wabaya? Kwani moyo unayoyajaa, ndiyo, kinywa kinayoyasema.
Chunguza Mateo 12:34
3
Mateo 12:35
Mtu mwema hutoa mema katika kilimbiko chake chema, lakini mtu mbaya hutoa mabaya katika kilimbiko chake kibaya.
Chunguza Mateo 12:35
4
Mateo 12:31
Kwa hiyo nawaambiani: Kila kosa na kila neno la kumbeza Mungu watu wataondolewa, lakini la kumbeza Roho hawataondolewa.
Chunguza Mateo 12:31
5
Mateo 12:33
Mkipanda mti nzuri, basi mtapata hata matunda mazuri. Au mkipanda mti mwovu, basi, mtapata hata matunda maovu. Kwani mti hutambulikana kwa matunda yake.
Chunguza Mateo 12:33
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video