Mathayo 11:29
Mathayo 11:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Jifungeni nira yangu, mkajifunze kwangu, maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtatulizwa rohoni mwenu.
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:29 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu
Shirikisha
Soma Mathayo 11