Mathayo 11:27
Mathayo 11:27 Biblia Habari Njema (BHN)
“Baba yangu amenikabidhi vitu vyote. Hakuna amjuaye Mwana ila Baba, wala amjuaye Baba ila Mwana, na yeyote yule ambaye Mwana anapenda kumfunulia.
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akasema, Nimekabidhiwa vyote na Baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana, na yeyote ambaye Mwana apenda kumfunulia.
Shirikisha
Soma Mathayo 11