1
Warumi 5:8
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Bali Mungu aonyesha pendo lake kwetu, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali wenye dhambi.
Linganisha
Chunguza Warumi 5:8
2
Warumi 5:5
na tumaini halitahayarishi, kwa maana pendo la Mungu limekwisha kumiminwa katika mioyo yetu na Roho Mtakatifu tuliyepcwa sisi.
Chunguza Warumi 5:5
3
Warumi 5:3-4
Wala si hivyo tu, illa twafurahi katika mateso pia, tukijua ya kuwa dhiiki, kazi yake ni kuleta uvumilivu, na kazi ya uvumilivu uthabiti wa moyo, na kazi ya uthabiti wa moyo tumaini
Chunguza Warumi 5:3-4
4
Warumi 5:1-2
BASSI tukiisha kuhesabiwa wema utokao katika imani, tuwe na amani kwa Mungu, kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo; kwa yeye tumepata kwa njia ya imani kuifikia neema hii ambayo tunasimama ndani yake; na twafurahi katika tumaini la utukufu wa Mungu.
Chunguza Warumi 5:1-2
5
Warumi 5:6
Kwa maana hapo tulipokuwa sisi hatuna nguvu, wakali ulipotimia, Kristo alikufa kwa ajili ya maasi.
Chunguza Warumi 5:6
6
Warumi 5:9
Bassi zaidi sana tukiisha kupewa haki katika damu yake tutaokolewa na ghadhabu kwa yeye.
Chunguza Warumi 5:9
7
Warumi 5:19
Kwa sababu kama kwa kuasi kwake mtu mmoja watu wote waliingizwa katika hali ya wenye dhambi, vivyo hivyo kwa kutii kwake mtu mmoja watu wote wameingizwa katika hali ya wenye haki.
Chunguza Warumi 5:19
8
Warumi 5:11
Wala si hivyo tu, illa na twajifurahisha katika Mungu kwa Bwana wetu Yesu Kristo ambae kwa yeye tuliupokea upatanisho.
Chunguza Warumi 5:11
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video