Waroma 5:3-4
Waroma 5:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Naam, si hayo tu, bali tunafurahi pia katika taabu tukijua kwamba taabu huleta saburi, nayo saburi huleta uthabiti, na uthabiti huleta tumaini.
Shirikisha
Soma Waroma 5Waroma 5:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Naam, si hayo tu, bali tunafurahi pia katika taabu tukijua kwamba taabu huleta saburi, nayo saburi huleta uthabiti, na uthabiti huleta tumaini.
Shirikisha
Soma Waroma 5Waroma 5:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala si hivyo tu, ila na mfurahi katika dhiki pia; mkijua ya kuwa dhiki, kazi yake ni kuleta subira; na kazi ya subira ni uthabiti wa moyo; na kazi ya uthabiti wa moyo ni tumaini
Shirikisha
Soma Waroma 5Waroma 5:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wala si hivyo tu, ila na mfurahi katika dhiki pia; mkijua ya kuwa dhiki, kazi yake ni kuleta saburi; na kazi ya saburi ni uthabiti wa moyo; na kazi ya uthabiti wa moyo ni tumaini
Shirikisha
Soma Waroma 5