1
1 Wakorintho 12:7
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Lakini killa mmoja hupewa ufunuo wa Roho illi kufaidia.
Linganisha
Chunguza 1 Wakorintho 12:7
2
1 Wakorintho 12:27
Na ninyi m mwili wa Kristo, na viungo vya mwili huo, mmoja hiki na mmoja hiki.
Chunguza 1 Wakorintho 12:27
3
1 Wakorintho 12:26
Na kiungo kimoja kikiumia, viungo vyote huumia navyo, na kiungo kimoja kikitukuzwa, viungo vyote hufurahi pamoja.
Chunguza 1 Wakorintho 12:26
4
1 Wakorintho 12:8-10
Maana mtu mmoja kwa Roho apewa neno la hekima; na mwingine neno la maarifa, ipendavyo Roho yule yule; mwingine imani katika Roho yule yule; na mwingine karama za kuponya katika Roho yule mmoja; na mwingine kutenda kazi za miujiza; na mwingine unabii; na mwingine kupambanua roho; mwingine aina za lugha; na mwingine tafsiri za lugha
Chunguza 1 Wakorintho 12:8-10
5
1 Wakorintho 12:11
lakini kazi hizi zote huzitenda Roho huyo mmoja, yule yule, akimgawia killa mmoja peke yake kama apendavyo yeye.
Chunguza 1 Wakorintho 12:11
6
1 Wakorintho 12:25
illi kusiwe fitina katika mwili, hali viungo vitunzane.
Chunguza 1 Wakorintho 12:25
7
1 Wakorintho 12:4-6
Pana tofauti za karama; bali Roho yule yule. Pana tofauti za khuduma, na Bwana vule yule; pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu yule yule azitendae kazi zote katika wote.
Chunguza 1 Wakorintho 12:4-6
8
1 Wakorintho 12:28
Na Mungu ameweka wengine katika Kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kiisha miujiza, kiisha karama za kuponya wagonjwa, na masaidiano, na kutawala, na aina za lugha.
Chunguza 1 Wakorintho 12:28
9
1 Wakorintho 12:14
Kwa maana mwili hauwi kiungo kimoja, bali vingi.
Chunguza 1 Wakorintho 12:14
10
1 Wakorintho 12:22
Bali zaidi sana vile viungo vya mwili vidhaniwavyo kuwa vinyonge zaidi vyahitajiwa zaidi.
Chunguza 1 Wakorintho 12:22
11
1 Wakorintho 12:17-19
Kama mwili wote ukiwa jicho, ku wapi kusikia? kama wote ni sikio ku wapi kuona? Bali Mungu amevitia viungo killa kimoja katika mwili kama alivyotaka. Lakini kama vyote vingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi?
Chunguza 1 Wakorintho 12:17-19
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video