1
1 Wakorintho 11:25-26
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Vivi hivi nacho kikombe baada ya kula, akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu: fanyeni liivi killa mnywapo, kwa ukumbusho wangu. Maana killa mwulapo mkate huu na kunywea kikombe hiki, mwaitangaza mauti ya Bwana hatta ajapo.
Linganisha
Chunguza 1 Wakorintho 11:25-26
2
1 Wakorintho 11:23-24
Kwa maana mimi nalipokea kwa Bwana niliyowakhubirini, ya kuwa Bwana Yesu usiku ule aliotolewa alitwaa mkate, na akiisha kushukuru akaumega, akasema, Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangii.
Chunguza 1 Wakorintho 11:23-24
3
1 Wakorintho 11:28-29
Lakini mtu ajihoji nafsi yake, ndivyo aule mkate, na kukinywea kikombe. Maana alae na kunywa asivyostahili, hula na hunywa hukumu ya nafsi yake, kwa kutokuupambanua mwili wa Bwana.
Chunguza 1 Wakorintho 11:28-29
4
1 Wakorintho 11:27
Bassi killa aulae mkate huu, au kunywea kikombe hiki, asivyostahili, atakuwa amejipatia khatiya kwa ajili ya mwili na damu ya Bwana.
Chunguza 1 Wakorintho 11:27
5
1 Wakorintho 11:1
MWE wafuasi wangu kama mimi nilivyo mfuasi wa Kristo.
Chunguza 1 Wakorintho 11:1
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video