1 Wakorintho 12:8-10
1 Wakorintho 12:8-10 SWZZB1921
Maana mtu mmoja kwa Roho apewa neno la hekima; na mwingine neno la maarifa, ipendavyo Roho yule yule; mwingine imani katika Roho yule yule; na mwingine karama za kuponya katika Roho yule mmoja; na mwingine kutenda kazi za miujiza; na mwingine unabii; na mwingine kupambanua roho; mwingine aina za lugha; na mwingine tafsiri za lugha


