Soma Biblia Kila Siku 04/2025Sample

Wakati wa kufufuka kwake Yesu, walikuwepo wengine waliokuwa na mashaka kama Tomaso. Ujumbe wa Petro uliwahakikishia watu hawa kuwa alifufuka kweli. Petro anasema alikula na kunywa pamoja na Yesu.Tuliokula na kunywa pamoja naye baada ya kufufuka kwake kutoka kwa wafu(m.41). Hata leo wapo wasioamini kuwa Yesu yu hai. Kwa hiyo wanahitajika akina Petro wenye ushuhuda kuwatia moyo watu hao kuwa Kristo yu hai na anaweza kuwaokoa katika mahangaiko na shida zao. Kama unamwamini Yesu, usinyamaze, bali uwashuhudie wengine walio katika hali ya kutoamini.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 04/2025 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi Aprili pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Walawi, Luka na 2 Petro. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

When You Feel Like Roommates: 4 Day Plan to Help You Love (And Like) Your Spouse for Life

The Holy Spirit: God Among Us

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

You Say You Believe, but Do You Obey?

Two-Year Chronological Bible Reading Plan (First Year-January)

The Bible in a Month

Sharing Your Faith in the Workplace

Everyday Prayers for Christmas

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen
