Soma Biblia Kila Siku 04/2025Sample

Waisraeli walipomtolea Mungu matoleo ya nafaka na vinywaji, yaliitwasadaka ya unga. Kwa namna hii walimshukuru Mungu kwa kuwajalia kupata riziki ya kila siku. Tunaona kuwa sehemu ndogo tu ndiyo iliyoteketezwa, na iliyobaki ilikuwa ni riziki waliyoruhusiwa makuhani kuila kwa utaratibu wa Mungu. Mtume Paulo anasema kwamba watu wanapomshukuru Mungu kwa vitu walivyo navyo, wanapaswa kufanya kwa moyo wa hiari, siyo kwa kulazimishwa. Ikiwa mimi natumia sehemu yangu kwa shukrani, kwa nini nitukanwe, kwa ajili ya kitu nikishukuriacho?(1 Kor 10:30)Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu(2 Kor 9:7). Je, ndivyo unavyomshukuru Mungu?
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 04/2025 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi Aprili pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Walawi, Luka na 2 Petro. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Sharing Your Faith in the Workplace

The Holy Spirit: God Among Us

Who Am I, Really? Discovering the You God Had in Mind

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

The Bible in a Month

Everyday Prayers for Christmas

Positive and Encouraging Thoughts for Women: A 5-Day Devotional From K-LOVE

Reimagine Influence Through the Life of Lydia
