Soma Biblia Kila Siku 05/2024Sample

Yoeli alikuwa nabii katika ufalme wa Yuda. Maana ya jina hili niYHWH (BWANA) ni Mungu. Alitumwa kwa taifa la Mungu likiwa katika hali mbaya kiroho, kijamii na kiuchumi. Nabii anawaambia hali ile imekuwapo kwa sababu watu wamekwenda kinyume na mpango wa Mungu. Anawaonya wamrudie Mungu ili awasaidie. Upofu wa kiroho unaoletwa na dhambi umewafanya kuona mambo ambayo ni chukizo kwa Mungu kama kitu cha kawaida. Kwa hiyo furaha ya watu imetoweka na hata mazao yao yamekauka, hawana kitu cha kutumainia.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 05/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa tano pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Kutoka, Yoeli na Mathayo. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Awakening Faith: Hope From the Global Church

Game Changers: Devotions for Families Who Play Different (Age 8-12)

30 Powerful Prayers for Your Child Every Day This School Year

Sharing Your Faith in the Workplace

Rebuilt Faith

Protocols, Postures and Power of Thanksgiving

24 Days to Reflect on God's Heart for Redemption

Legacy Lessons W/Vance K. Jackson

You Say You Believe, but Do You Obey?
