Soma Biblia Kila Siku 02/2024Sample

Ndani ya hema ya kukutania kulikuwa na sehemu kuu mbili, yaani ile ya Patakatifu na ile ya Patakatifu pa Patakatifu, ambazo zilitengwa na pazia kubwa. Kiti cha rehema kiliwekwa juu ya sanduku la ushuhuda au la agano, na vyote viliwekwa sehemu ya patakatifu sana. Kiti hiki kinaonyesha kwa ishara kukombolewa kwa wanadamu kutoka katika dhambi na uovu wao. Habari njema ni kuwa Yesu Kristo ametufungulia njia iliyo wazi ya kuingia kwa kiti cha rehema cha Mungu.Basi, ndugu, kwa kuwa tuna ujasiri wa kupaingia patakatifu kwa damu ya Yesu,njia ile aliyotuanzia iliyo mpya, iliyo hai, ipitayo katika pazia, yaani, mwili wake(Ebr 10:19-20).Basi na tukikaribie kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupewe rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji(Ebr 4:16).
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 02/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Februari pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Kutoka. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Philippians - Life in Jesus

The Origin of Our Story

3 - LORD'S PRAYER - the Lord´s Requirements

Don’t Know What You’re Doing After Graduation? Good.

The Rapture of the Church

UNPACK This...Being a Good Teammate in Life

Seasons of Hardship: Live the Jesus Way

Forever Welcomed: A Five-Day Journey Into God’s Heart for All

As He Purposeth in His Heart by Vance K. Jackson
