YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku /Desemba 2023Sample

Soma Biblia Kila Siku /Desemba 2023

DAY 25 OF 32

Nabii Isaya anatukumbusha habari za kuzaliwa kwa Yesu, akitaja maana yake kwetu,Kwa ajili yetu mtoto amezaliwa(m.6). Alitabiri habari hizi miaka mingi kabla ya mkesha wa Krismasi. Katika siku hii tunaaadhimisha usiku mtakatifu ambapo Mungu amefanyika mwanadamu katika Kristo. Huu ni upendo wa aina yake: Mungu alikuja kwetukwa ajili yetu. Na hivi ndivyo alivyo Mungu,yaanialiupenda ulimwengu, hata kamtoa Mwanawe pekee, ili kila amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele(Yn 3:16). Tumpokee akae ndani yetu ili tupate uzima wa milele.

Scripture

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku /Desemba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Desemba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Desemba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Matendo ya Mitume. Karibu kujiunga na mpango huu

More