BibleProject | Tafakari ya Ujio wa YesuSample

Neno “majilio au ujio” linamaanisha kuwasili. Kwa hivyo katika msimu huu wa majilio au Ujio wa Yesu, tunakualika kutafakari maana za Biblia za tumaini, amani, furaha, na upendo ili kujifunza jinsi maadili haya yamewasili fika ulimwenguni kupitia kwa Yesu.
Katika wiki yetu ya kwanza, tutachunguza maana ya Biblia ya tumaini. Je, hii Video inakutia moyo vipi leo?
Scripture
About this Plan

BibleProject ilibuni Tafakari ya Ujio wa Yesu ili kuhamasisha watu mmoja mmoja, vikundi vidogo vidogo, na familia kusherehekea majilio, au kuwasili kwa Yesu. Mwongozo huu wa wiki nne unashirikisha video za kikatuni, mihutasari mifupi, na maswali ya kutafakari ili kuwasaidia washiriki kuchunguza maana ya Biblia ya tumaini, amani, furaha, na upendo. Chagua mwongozo huu ili kujifunza jinsi maadili haya manne yamefika ulimwenguni kupitia kwa Yesu.
More
Related Plans

The Armor-Wearing Parent: 7 Days to Fight Back Spiritually

2 Corinthians

7 Times Jesus Claimed to Be God

Legacy: God Honors the Heart by Vance K. Jackson

How God Doubled Our Income in 18 Days

Dangerous for Good, Part 3: Transformation

Letting God in When Life Falls Apart

Paul vs. The Galatians

Nurturing Your Desire for More in a Healthy Way
