Soma Biblia Kila Siku Oktoba 2021Sample

Sura ya 5 inatuonjesha utukufu wa mbinguni. Kristo anatambulishwa kwa kutumia mfano wa simba na mwanakondoo. Kujitoa na kunyenyekea kwake ni tabia ya mwanakondoo. Kifo chake msalabani na kufufuka kwake kumempa uweza wa kufungua kitabu chenye mambo ya dunia. Mamlaka, nguvu na uweza wa Kristo vinawekwa wazi kwa kumfananisha na simba. Hakuna kiumbe wala mamlaka viwezavyo kumshinda au vilivyo juu yake. Kristo ameshinda Shetani, kifo, na dhambi. Kristo alikufa, lakini sasa yu hai. Umtegemee!
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Oktoba 2021 ni mpango mzuri wa kusoma biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa oktoba, pamoja na ufafanuzi mfupi wa kukusaidia kuelewa na kutafakari zaidi Neno la Mungu. Katika mpango huu utasoma zaidi Zaburi, 2 Samweli na Ufunuo. Karibu kujiunga na mpango huu.
More
Related Plans

Returning Home: A Journey of Grace Through the Parable of the Prodigal Son

Homesick for Heaven

Breath & Blueprint: Your Creative Awakening

Judges | Chapter Summaries + Study Questions

Stormproof

Let Us Pray

Ruth | Chapter Summaries + Study Questions

Faith in Hard Times

Unapologetically Sold Out: 7 Days of Prayers for Millennials to Live Whole-Heartedly Committed to Jesus Christ
