Soma Biblia Kila Siku Aprili 2021Sample

Somo linahusu mipango ya Paulo. Hiyo yaonyesha kuwa mafanikio ya kazi ya Mungu yanatokana na ushiriki wa kila aliyeitwa kwa ajili ya kazi hii. Paulo alifanya kazi ya kitume kwa kushirikiana na wengine kama Timotheo, Apolo, Luka, Barnaba na wengine. Kazi ya Kristo haijali umri, kabila, rangi au jinsia. Ni kazi ya kila aitwaye Mkristo. Katika kumtumikia Kristo tambua na kuthamini uwezo na nafasi ya wengine wanaomtumikia Kristo. Kisha waombee na kuwatambulisha kwa kanisa.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Aprili 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho na Ayubu. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Love Your Life (Even When You Don’t Like It All the Time): Unlocking Joy in Life's Messy, Mundane, and Magnificent Moments

The Armor-Wearing Parent: 7 Days to Fight Back Spiritually

When All Seems Lost

Stormproof

5 Prayers for Your Daughter’s School Year

Turn Back With Joy: 3 Days of Repentance

God, I’m Tired: Honest Rest for Exhausted Parents

Homesick for Heaven

5 Days of Prayer and Thanksgiving in the Psalms
