YouVersion Logo
Search Icon

Methali 22:5-6

Methali 22:5-6 BHN

Njia ya waovu imejaa miiba na mitego; anayetaka kuhifadhi maisha yake ataiepa. Mfunze mtoto namna ya kuishi vizuri, naye hatasahau njia hiyo hata uzeeni.