Wimbo Ulio Bora 1:4
Wimbo Ulio Bora 1:4 BHND
Nichukue, twende zetu haraka, mfalme amenileta katika chumba chake. Tutafurahi na kushangilia kwa sababu yako, tutasifu mapenzi yako kuliko divai. Wanawake wana haki kukupenda!