YouVersion Logo
Search Icon

Zaburi 122:6-8

Zaburi 122:6-8 BHND

Uombeeni Yerusalemu amani: “Wote wakupendao na wafanikiwe! Ndani ya kuta zako kuwe na amani, majumbani mwako kuweko usalama!” Kwa ajili ya jamaa na ndugu zangu, ee Yerusalemu, nakutakia amani!

Free Reading Plans and Devotionals related to Zaburi 122:6-8