YouVersion Logo
Search Icon

Mathayo 14:18-19

Mathayo 14:18-19 BHND

Yesu akawaambia, “Nileteeni hapa.” Akawaamuru watu waketi katika nyasi. Kisha Yesu akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama juu mbinguni, akavibariki. Halafu akaimega hiyo mikate, akawapa wanafunzi wake, nao wakawapa watu.

Free Reading Plans and Devotionals related to Mathayo 14:18-19