YouVersion Logo
Search Icon

Ezekieli 2:2-3

Ezekieli 2:2-3 BHND

Alipokuwa akiongea nami, roho ya Mungu ikaniingia na kunisimamisha wima. Ndipo nikamsikia akiniambia, “Wewe mtu nakutuma kwa Waisraeli, taifa la waasi ambao wameniasi. Wameendelea kunikosea mimi hadi leo kama walivyokuwa wazee wao.

Free Reading Plans and Devotionals related to Ezekieli 2:2-3