YouVersion Logo
Search Icon

Mateo 6:3-4

Mateo 6:3-4 SRB37

Lakini wewe ukimgawia mtu, mkono wako wa kushoto usitambue, wa kuume unayoyafanya, huko kugawa kwako kuwe kumejificha! Ndipo, Baba yako anayeyaona hata yanayojificha atakapokulipa waziwazi.

Free Reading Plans and Devotionals related to Mateo 6:3-4