YouVersion Logo
Search Icon

Warumi 3:10-12

Warumi 3:10-12 SWZZB1921

kama ilivyoandikwa, ya kama, Hakuna mwenye haki hatta mmoja. Hakuna afahamuye, Hakuna amtafutae Mungu. Wote wamepotoka, wameoza wote pia; Hakuna mtenda mema hatta mmoja