YouVersion Logo
Search Icon

Luka MT. 5:5-6

Luka MT. 5:5-6 SWZZB1921

Simon akajibu, akasema, Bwana, tulisumbuka usiku kucha, tusipate kitu: illakini kwa neno lako nitazishusha nyavu. Bassi, walipofanya hivi, wakakusanya wingi wa samaki: nyavu zao zikaanza kukatika.

Free Reading Plans and Devotionals related to Luka MT. 5:5-6