YouVersion Logo
Search Icon

Matendo 14:9-10

Matendo 14:9-10 SWZZB1921

Mtu huyo alimsikia Paolo akinena; nae akamkazia macho akaona ya kuwa ana imani ya kuponywa, akanena kwa sauti kuu, Simama kwa miguu yako sawa sawa. Akasimama upesi akaenda.

Free Reading Plans and Devotionals related to Matendo 14:9-10