YouVersion Logo
Search Icon

Mithali 4:18-19

Mithali 4:18-19 RSUVDC

Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing'aayo, Ikizidi kung'aa hata mchana mkamilifu. Njia ya waovu ni kama giza; Hawajui ni kitu gani kiwakwazacho.