YouVersion Logo
Search Icon

Wimbo wa Solomono UTANGULIZI

UTANGULIZI
Katika Kiebrania kitabu hiki kinaitwa Wimbo wa Nyimbo, ni kusema wimbo muzuri kupita zote. Wamoja wamewaza kwamba tenzi hizi ni juu ya upendo unaokuwa kati ya Mungu na watu wake au kati ya Kristo na Kanisa lake. Wengine wanawaza kwamba ni tenzi juu ya mapenzi kati ya mume na muke.

Highlight

Copy

Compare

Share

None

Want to have your highlights saved across all your devices? Sign up or sign in