YouVersion Logo
Search Icon

Zaburi 50:14-15

Zaburi 50:14-15 SWC02

Shukrani ikuwe ndiyo sadaka yako kwa Mungu. Umutimizie Mungu Mukubwa ahadi zako. Uniite wakati wa taabu, nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”

Related Videos