Zaburi 13:6
Zaburi 13:6 SWC02
Lakini mimi ninatumainia wema wako, moyo wangu ufurahie wokovu wako. Nitakuimbia wewe, ee Yawe, kwa vyote ulivyonitendea!