YouVersion Logo
Search Icon

Mezali 1:1-4

Mezali 1:1-4 SWC02

Hizi ni mezali za Solomono mwana wa Daudi mufalme wa Israeli. Zitawawezesha watu kujua hekima na mafundisho, na kufahamu misemo yenye maana kubwa. Zitawafundisha watu matendo ya hekima, haki, usawa, na sheria ya Mungu. Zitawaerevusha wajinga, zitawapa vijana maarifa na akili.