YouVersion Logo
Search Icon

Obadia UTANGULIZI

UTANGULIZI
Kitabu hiki cha nabii Obadia ni kidogo kuliko vitabu vyote vya manabii. Unabii wa Obadia unashugulikia mambo mawili: azabu ya taifa la Edomu (aya 1-14), na Siku ya Yawe ambapo Waisraeli watalipiza kisasi watu wa Edomu. Labda kitabu hiki kidogo sana kiliandikwa kule katika inchi ya Yuda muda mufupi mbele ya kurudi kutoka katika uhamisho.

Currently Selected:

Obadia UTANGULIZI: SWC02

Highlight

Share

Compare

Copy

None

Want to have your highlights saved across all your devices? Sign up or sign in