YouVersion Logo
Search Icon

Mika 1:1

Mika 1:1 SWC02

Hili ni neno la Yawe lilomufikia Mika, wa muji wa Moreseti wakati Yotamu, Ahazi na Hezekia walipokuwa wafalme wa Yuda. Mika aliona mambo yote haya juu ya Samaria na Yerusalema.

Related Videos

Free Reading Plans and Devotionals related to Mika 1:1