YouVersion Logo
Search Icon

Maombolezo UTANGULIZI

UTANGULIZI
Kitabu hiki kidogo cha Maombolezo ni mukusanyiko wa mashairi tano, ambamo mwandishi anaomboleza juu ya kuteketezwa kwa Yerusalema mwaka 586 mbele ya Kristo. Katika ibada za Wayuda mashairi hayo yalitumiwa kila mwaka kwa wakati wa kukumbuka kuharibiwa kwa hekalu la kwanza.
Mashairi ine ya kwanza katika Kiebrania yameandikwa kwa kufuata utaratibu wa alfabeti 22 za Kiebrania. Kutokana na matengeneo hayo, sura 1, 2 na 4 zina aya 22, wakati sura ya 3 ina aya 66.

Currently Selected:

Maombolezo UTANGULIZI: SWC02

Highlight

Share

Compare

Copy

None

Want to have your highlights saved across all your devices? Sign up or sign in