YouVersion Logo
Search Icon

Isaya 11:2-3

Isaya 11:2-3 SWC02

Roho wa Yawe atakaa kwake, Roho wa hekima na maarifa, Roho wa shauri jema na nguvu, Roho wa akili na utii wa Mungu. Furaha yake itakuwa kumutii Yawe. Hatatoa hukumu kulingana na yale anayoona, wala kuamua kufuatana na yale anayosikia.

Free Reading Plans and Devotionals related to Isaya 11:2-3